KUKU AINA YA NEW HAMPSHIRE REDS (WENGI HUITA ISRAEL)
- Asili ni America
- Hutaga Mayai 220+ kwa mwaka
- Hujenga nyama haraka, jogoo kilo 4+ Na tetea kilo 3+
- Hubalehe Na kuanza kutaga miezi mi 5 tangu kifaranga.
- Ni wekundu Na Wapole
- Wanakula gramu 130 za chakula kwa Siku kwa kuku anayetaga.
- Anaweza kufugwa kienyeji Na kujitafutia.
- Huvumilia magonjwa
- Kifaranga kinauzwa 2500/-@
URIO CROSS AND PURE BREEDING
ARUSHA, TENGERU KWA FUNDI.
0715446409,
0752831230,
0765308834,
07566418110
Vifaranga vinapatikana jumamos Na jumapili kila wiki.
Mikoani nasafirirsha kwa gharama za Mteja.
No comments:
Post a Comment