Sunday, October 16, 2016

Ng'ombe wa maziwa wanauzwa

Jipatie ng'ombe wa maziwa aina ya ayshire, amezaa mara moja. Sasa hivi anakamuliwa lita 20 kwa siku.
Yuko katika afya nzuri, ana mbegu/mimba ya miezi mi nne.
Anauzwa tsh. 2700000/-
Wasiliana na URIO PURE AND CROSS BREEDING LTD,
ARUSHA, USARIVER
0715446409
0752831230
0622831230
0785473025



No comments:

Post a Comment