*mbegu/breeds za kuku*
Zina gawanyika kama
- indigenous/local breeds (kuku wetu ambao ni asili ya afrika)
- exotic breeds/imported breeds ( hawa ni kuku wa asili ya mabara mengine)
NOTE:- HAO KUKU WOTE 👆 ni wa asili. ( Swala la kisasa na kienyeji ni maneno yalio zoeleka)
Sasa basi ktk hizo mbegu taywa hapo juu zote pia zina gawanyika kulingana na KAZI/PURPOSE ya ku fugwa kwao.
1. Kuku wa mayai (egg laying strain of chicken/layers)
Hawa kuku kwa asili yao tu walivyo umbwa wana umahiri wa kuzalisha mayai, hivyo ni wazembe, au hawazalishi nyama nyingi, pia mara nyingi hu balehe mapema (4.5-5 months).
2. Kuku wa nyama
Hawa kuku maumbile yao au jinsi walivyo wana uwezo wa kukua haraka na kuongeza uzito,nyama kwa kasi wana (high conversion ratio) yani wana badili chakula wanacho kula kwa kiasi kikubwa kujenga nyama. Hawa ni wazembe wa kutaga, wanakula sana na ana maumbo makubwa. Huchelewa kubalehe pia ( mara nyingi miezi 6)
3. Dual purpose birds/chicken, au kuku wa nyanja zote
Hawa wana uwezo nusu kwa nusu wa mayai na nyama. Kwahiyo wana taga vizuri wastani na wana kua vizuri kwa haraka. (Balehe zao ni kati ya miezi 4.5-5)
4. Kuna aina/mbegu zinaitwa *IMPROVED BREEDS au MBEGU ZILIZO BORESHWA* Hizi mbegu za kuku hazikuwepo zenyewe ila ni sisi binadamu tumezi tengeneza kwa ku changanya (ku cross breed)mbegu au ina hizo hapo juu ili kuboresha uzalishaji, maboresho haya yanalenga nyanja kama UTAGAJI,UKUAJI,UVUMILIVU WA MAGONJWA, SIZE YA MAYAI, RANGI ZA KUKU NA MAYAI N.K
Hao kuku walio boreshwa kwa cross breeding wanaitwa CHOTARA/HYBRIDS.
5. Kuna aina ingine inafugwa kwa ajili ya UREMBO yani uzuri wao na rangi zao hata kama hawatagi sana na hawakui sana.
*NOTE* Kuku wa mayai wale mnaita wa kisasa ni chotara/hybrids waliotokana na kuchanganya mbegu mbili au zaidi za kuku mahiri wa kutaga ili kupata mbegu moja mahiri kwa utagaji.
Broiler/kuku wa nyama pia wametokana na kuchanganya kuku wanao kua na kujenga nyama hasa ya kifua kwa muda mfupi na wanao weza kubadili chakula kua nyama kwa kiwango kikubwa (high feed conversion rate)
Mifano ya mbegu/breeds zinazipatikana Tz
*Dual purpose*
- black australorp/malawi
- rhodes island red
- new hampshire red/israel
- buff orpington
- kari , kuroiler, kenbro, sasso ( hawa ni chotara/hybrids)👆
*Spesific purpose/ kazi moja*
- hybrid layers ( ndo wale wa mayai mnaita wa kisasa)
- broiler ( kuku wa nyama)
- black australorp/malawi ( huyu ana angukia hapa pia kwakua anataga sana ni no. 2 duniani kwa utagaji)
- sasso ( ni wa nyama huyu ana angukia hapa kwakua unaweza muuza kama wa nyama akiwa na miezi 3 na wa mayai akiwa na miezi 5.5+).
*Kuku wetu wa asili, wengi mnawaita wa kienyeji*
Hawa hutumika kwa ajili ya nyama na mayai, ila uzalishaji wao ni hafifu kutokana na uumbwaji wao ( they have low genetic potential to production)
- wanachelewa kubalehe wengi huchukua miezi 6+
- mtagaji mahiri anataga mayai 90 au 100 kwa mwaka
- huchukua muda kufikisha uzito mzuri ( hata miezi 9-22 kufikisha kilo 1)
Bora zao au faida zao ni;-
Huvumilia sana hali ngumu na magonjwa.
By
Kidevu

URIO PURE & CROSS BREEDING
USA RIVER, ARUSHA
0715446409
0752831230
0622831230
Wauzaji wa ng”ombe na mbuzi wa maziwa,kuku,bata,njiwa na mmbwa.
No comments:
Post a Comment