Katika chakula cha kuku anaye taga kiwango chamadini ya kalisi (calcium) kinatakiwa kiwe 3℅ - 4℅ .
Pia wiki mbili kabla ya kuanza kutaga mitetea unayo elekea kuanza kutaga inatakiwa ilishwe kiwango kikubwa cha madini ya kalisi (calcium) katika chakula chao, hii ni kwa sababu mabadiliko ya homoni ktk mifumo yao ya uzazi na mwili kwa ujumla huwafanya waweze kuhifadhi madini hayo kwa kiwango kiubwa katika mifupa yao, kiwango kingi huenda katika (medullary bones) nitaionyesha ktk picha.
Sasa basi hicho kiwango kikubwa cha madini walic

ho hifadhi kinakuja kuwekwa sawa wanapoa anza kutaga mayai. Wanapo anza kutaga chakula chao kinakua na madini ikitokea yakawa yamepungua wanatumia yale waliyo hifadhi ktk mifupa mpaka yanaisha wana anza kutumia kalisi ya mifupa yao ndo wanapata upungufu wana anza kupata hamu ya kula chochote chenye kalisi ndani yake ikiwemo mayai yao.

No comments:
Post a Comment