Thursday, September 26, 2019

Black australop hujukikana kama kuku wa Malawi

Kuku aina ya black australop au malawi.
1. Asili yai ni Australia
2. Huanza kutaga wakiwa na miezi 4.5
3. Hutaga wastani wa mayai 250 - 280 kwa tetea mmoja
4. Uzito wa kilo 2 kwa tetea na jogoo kilo 3
5.  Hufugika kienyeji/huria na hata ndani pia
6. Hutumia kiasi kidigo cha chakula (125g)
7. Huvumilia magonjwa
Vifaranga wake wanapatikana ktk kampuni ya urio iliyopo Arusha Tengeru kila jumamosi au jumapili.
Ni vifaranga wa siku moja na bei ni 2000/- mikoani tunasafirisha kwa gharama za mteja.
Hatuuzi mayai ya kuangua. Wasiliana nasi kwa;-
0715446409
0752831230

Friday, December 8, 2017

ugonjwa wa kideri/mdondo (new castle desease)

UGONJWA WA KUKU (MDONDO/KIDERI) NAMNA YA KUTIBU / KUKINGA


Ugonjwa unaosumbua sana wafugaji wa kuku ni Mdondo na wengine huuita Kideri (new
castle disease). Chanzo cha ugonjwa huu ni virusi.

Ni ugonjwa unaoathiri kuku wa rika zote
na mara nyingi humaliza kuku wengi au wote vijijini.

Dalili za Mdondo ni:
• Kuku hukohoa
• Kuhema kwa shida
• Hushusha mbawa
• Kupoteza hamu ya kula, kuzubaa, kusinzia
• Manyoya kuvurugika
• Kuharisha kijani
• Kutokwa ute mdomoni na puani
• Kizunguzungu, shingo kujikunja, kurudi kinyumenyume, kupooza mabawa, kuanguka
chali, kupoteza fahamu na hatimaye kufa.
• Kuku wengi kwenye kundi hufa katika kipindi kifupi kwa kufikia asilimia 90 hadi 100.

Uenezaji wa ugonjwa huu ni kwa njia zifuatazo:
• Kinyesi cha kuku anayeumwa kikikanyagwa na miguu, magari, baiskeli na kuwafikia
kuku nwengine.
• Kwa njia ya hewa (kuvuta hewa yenye virusi ) au upepo waweza kusafirisha virusi.
• Mabaki ya kuku anayeumwa kama utumbo, manyoya n.k. visipozikwa vitaeneza
ugonjwa kwa kuku wazima kula mabaki hayo au wanyama watakaokula mabaki hayo
huweza kuyasambaza na kueneza ugonjwa.

Kudhibiti Mdondo
Kuchanja
Kwanza kabisa ni chanjo ya Mdondo.

Zipo aina tofauti za chanjo ya Mdondo. Lakini chanjo iliyo rahisi kutumiwa vijijini inaitwa I-2
Thermostable. Chanjo hii tofauti na chanjo nyingine nyingi inao uwezo wa kustahimili joto.
Hutolewa kwa njia ya kuku kudondoshewa tone moja la dawa katika jicho moja tu. Hii ni dozi
kamili kwa kuku wa umri wowote.

Pia chanjo maarufu kwa mijini ni Newcastle ambapo huchanganya na maji kisha unaweka kwenye vinywesheo kwa muda wa massa mawili.
KUMBUKA;- ikitokea mlipuko wa kideri shambani au bandani kwako wasiliana na mtaalamu wa tiba ya mifugo haraka iwezekanavyo.

kuku aina ya israel (new hampshire reds)

KUKU AINA YA NEW HAMPSHIRE REDS (WENGI HUITA ISRAEL)
  1. Asili ni America
  2. Hutaga Mayai 220+ kwa mwaka
  3. Hujenga nyama haraka, jogoo kilo 4+ Na tetea kilo 3+
  4. Hubalehe Na kuanza kutaga miezi mi 5 tangu kifaranga.
  5. Ni wekundu Na Wapole
  6. Wanakula gramu 130 za chakula kwa Siku kwa kuku anayetaga.
  7. Anaweza kufugwa kienyeji Na kujitafutia.
  8. Huvumilia magonjwa
  9. Kifaranga kinauzwa 2500/-@

URIO CROSS AND PURE BREEDING
ARUSHA, TENGERU KWA FUNDI.
0715446409,
0752831230,
0765308834,
07566418110
Vifaranga vinapatikana jumamos Na jumapili kila wiki.

Mikoani nasafirirsha kwa gharama za Mteja.

kuku aina ya malawi

KUKU AINA YA BLACK AUSTRALORP (WENGI HUWAITA MALAWI)
- ASILI NI AUSTRALIA
- NI NO.2 KWA UTAGAJI DUNIANI (MAYAI 280+ KWA MWAKA)
- HUBALEHE HARAKA 4.5 MONTHS TAYARI KUANZA KUTAGA.
- UZITO KG 3 JOGOO KG 2.5 TETEA
- HAWALI SANA GM125 PER DAY PER BIRD.
- HUVUMILIA MAGONJWA SANA.
- NI WAPOLE
- NI WEUSI MIGUU MPAKA MACHO.
- HAWATAMII MARA KWA MARA.
KIFARANGA NAUZA 2500/-@
NIKO ARUSHA, NASAFIRISHA MIKOANI KWA GHARAMA ZA MTEJA
URIO CROSS AND PURE BREEDING
P.O.BOX 924
USA RIVER
ARUSHA
0715446409
0752831230
0622831230
0785473025


Monday, December 4, 2017

LEA VIFARANGA BILA UMEME, TUMIA VYUNGU VYA KUTUMIA MKAA KIDOGO

Vyungu vyajoto husaidia kupunguza gharama za umeme, pia kw wafugaji wasio na umeme, chungu kimoja kinaweza hudumia vifaranga 100. Hutunia mkaa kidogo na huifadhi joto.
Chungu kimoja haupatikana kw tsh. 12,000/-
Wasiliana nasi kwa 0715446409
Tupo ARUSHA

Tuesday, November 21, 2017

Vifaranga bora kutoka kampuni ya urio Arusha

*URIO CROSS AND PURE BREEDING TENGERU ARUSHA*
tunauza vifaranga wa mbegu zifuatazo;-
1. Black australorp
2. Rhode island red
3. New Hampshire reds
4. Kuroiler
5. Plymouth Rock
6. Kienyeji
7. Bata mzinga
8. Kanga
9. Bata msumeno (bukini)
Pia tunauza ng'ombe na mbuzi wa maziwa, na mbwa wa ulinzi.
*Kifaranga wa siku moja ni 2500/- tsh*
Tunasafirisha mikoani kwa gharama nafuu ( *gharama za mteja*)
Wasiliana nasi kwa;-
0715446409
0752831230

Wednesday, April 19, 2017

VIFARANGA BORA

Mbegu zifuatazo zinapatikana;-
1. Malawi (black australorp)
2. Israel (new Hampshire reds)
3. Kuroiler
Bei ni tsh. 2500/- kwa kifaranga wa umri wa siku moja.
Tunapatikana ARUSHA TENGERU, mikoani tunasafirisha kwa gharama za mteja.
Wasilana kwa 0715446409 au 0752831230